Kilikwala
Mandhari
Kilikwala ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Walikwala. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilikwala imehesabiwa kuwa watu 45,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilikwala iko katika kundi la C30. Kilikwala na Kilikuba zinaelewekana, yaani ni kama lahaja za lugha moja.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilikwala kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilikwala Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilikwala katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kwc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilikwala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |