Kilika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilika ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walika. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilika imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilika iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.