Kiliabuku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiliabuku ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waliabuku kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiliabuku imehesabiwa kuwa watu 75 tu, na tangu pale idadi imepungua tena, yaani lugha ya Kiliabuku imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiliabuku iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiliabuku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.