Kilhomi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilhomi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi, Uchina na Nepal inayozungumzwa na Walhomi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilhomi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 1320. Pia kuna wasemaji 810 nchini Nepal (2011) na wasemaji 1000 nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilhomi iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilhomi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.