Nenda kwa yaliyomo

Kileti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kileti (lugha))

Kileti ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waleti. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kileti iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kileti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.