Kileti
Mandhari
Kileti ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waleti. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kileti iko katika kundi la A60.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kileti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kileti Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kileti katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/leo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kileti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |