Kileningitij

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kileningitij (au Kilinngithigh) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waleningitij katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kileningitij, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kileningitij kiko katika kundi la Kipama Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kileningitij kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.