Kilenakel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilenakel ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Walenakel kwenye kisiwa cha Tanna. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilenakel imehesabiwa kuwa watu 11,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilenakel iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilenakel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.