Kilembata-Kusini
Mandhari
Kilembata-Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walembata kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilembata-Kusini imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilembata-Kusini iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilembata-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilembata-Kusini Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilembata-Kusini katika Glottolog
- lugha ya Kilembata-Kusini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilembata-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |