Kilelemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilelemi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Walelemi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kilelemi imehesabiwa kuwa watu 48,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilelemi iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilelemi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.