Nenda kwa yaliyomo

Kilefa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilefa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Walefa. Idadi ya wasemaji wa Kilefa imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilefa iko katika kundi la A50.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilefa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.