Nenda kwa yaliyomo

Kilavukaleve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilavukaleve ni lugha ya Kisolomon-Katikati nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Walavukaleve kwenye kisiwa cha Russell. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kilavukaleve imehesabiwa kuwa watu 1780.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilavukaleve kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.