Kilaura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilaura ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walaura kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kilaura imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaura iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.