Kilaua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilaua ilikuwa lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Walaua. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kilaua, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaua iko katika kundi la Kimailuan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.