Kilau
Mandhari
Kilau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Walau kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kilau imehesabiwa kuwa watu 16,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilau iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilau kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilau Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilau katika Glottolog
- lugha ya Kilau kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |