Kilardil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilardil ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Walardil katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kilardil ilikuwa watu 54 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilardil kiko katika kundi lake lenyewe la Kilardil.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilardil kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.