Nenda kwa yaliyomo

Kilanoh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilanoh ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Walanoh. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilanoh imehesabiwa kuwa watu 240. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilanoh iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilanoh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.