Kilanima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilanima kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Walanima katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kilanima, yaani lugha imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha ya Kilanima kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilanima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.