Kilango (Sudan)
Mandhari
Kilango ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Walango. Ni tofauti na lugha ya Kilango nchini Uganda. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilango imehesabiwa kuwa watu 38,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilango iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilango kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilango Archived 6 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilango katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lno
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilango (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |