Kilamu-Lamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilamu-Lamu (au Kilamalama) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Walamalama katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kilamu-Lamu ilikuwa watu 19 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamu-Lamu kiko katika kundi la Kilamalamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamu-Lamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.