Kilamet
Mandhari
Kilamet ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uthai inayozungumzwa na Walamet. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kilamet nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 19,800. Nchini Uthai kuna wasemaji 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamet iko katika kundi la Kipalaungiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilamet kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilamet Archived 11 Agosti 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilamet katika Glottolog Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilamet kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilamet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |