Kilamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilamba ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Walamba. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilamba imehesabiwa kuwa watu 219,000. Pia kuna wasemaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilamba iko katika kundi la M50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.