Kilamalera
Mandhari
Kilamalera (pia Kikawela, Kilebatukan au Kimulan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walamalera kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilamalera imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamalera iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilamalera kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilamalera Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilamalera katika Glottolog
- lugha ya Kilamalera kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilamalera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |