Kilalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilalia ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walalia. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilalia imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilalia iko katika kundi la C70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilalia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.