Kiladji-Ladji
Mandhari
Kiladji-Ladji kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waladji-Ladji katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiladji-Ladji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiladji-Ladji kiko katika kundi la Kikulin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiladji-Ladji kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiladji-Ladji Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiladji-Ladji katika Glottolog
- lugha ya Kiladji-Ladji katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiladji-Ladji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |