Kikwini
Mandhari
Kikwini kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wakwini katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikwini ilitoweka (mwaka wa 2005, kulikuwa na msemaji mmoja). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwini kiko katika kundi la Kiwunambal.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikwini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikwini Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikwini katika Glottolog
- lugha ya Kikwini katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |