Kikwegu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwegu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakwegu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikwegu imehesabiwa kuwa watu 1640. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwegu iko katika kundi la Kisurmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwegu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.