Kikwara'ae
Mandhari
Kikwara'ae ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wakwara'ae kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikwara'ae imehesabiwa kuwa watu 32,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwara'ae iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikwara'ae kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikwara'ae Ilihifadhiwa 13 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikwara'ae katika Glottolog
- lugha ya Kikwara'ae kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwara'ae kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |