Kikwami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwami ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakwami. Idadi ya wasemaji wa Kikwami imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwami iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.