Kikwaio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwaio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wakwaio kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikwaio imehesabiwa kuwa watu 13,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwaio iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwaio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.