Kikw'adza
Mandhari
Kikw'adza (au Kiqwadza) ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Tanzania iliyozungumzwa na Wakw'adza. Mkw'adza wa mwisho aliyejua kuongea lugha hiyo alifariki kati ya mwaka 1976 na 1999, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikw'adza iko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikw'adza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikw'adza Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikw'adza katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/wka
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikw'adza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |