Kikusunda
Mandhari
Kikusunda ni lugha nchini Nepal iliyokuwa inazungumzwa na Wakusunda. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikusunda hakihusiani na lugha nyingine yoyote bila shaka.
Mwaka 2023 alikuwa amebaki msemaji mmoja tu wa Kikusunda, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikusunda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikusunda Ilihifadhiwa 22 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikusunda katika Glottolog
- lugha ya Kikusunda kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikusunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |