Kikurrama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikurrama ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakurrama katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kikurrama kumi tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurrama kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurrama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.