Kikurnai
Mandhari
Kikurnai (pia Kiganai) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakurnai katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikurnai 26 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurnai kiko katika kundi la Kiganaiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikurnai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikurnai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikurnai katika Glottolog
- lugha ya Kikurnai katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikurnai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |