Kikunyi
Mandhari
Kikunyi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wakunyi. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikunyi imehesabiwa kuwa watu 52,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikunyi iko katika kundi la H10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikunyi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikunyi Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikunyi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/njx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikunyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |