Kikunjen
Mandhari
Kikunjen ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakunjen katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kikunjen wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikunjen kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikunjen kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikunjen Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikunjen katika Glottolog
- lugha ya Kikunjen katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikunjen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |