Kikung
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kikung (lugha))
Kikung ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakung. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikung imehesabiwa kuwa watu 1750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikung iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikung Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikung katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kfl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |