Kikulung (Nepal)
Mandhari
Kikulung ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wakulung. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikulung nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 33,200. Idadi ya wasemaji nchini Uhindi haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikulung iko katika kundi la Kikiranti.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikulung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikulung Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikulung katika Glottolog
- lugha ya Kikulung kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikulung (Nepal) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |