Kikulango-Bouna
Mandhari
Kikulango-Bouna ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Ghana inayozungumzwa na Wakulango. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikulango-Bouna nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 142,000. Pia kuna wasemaji 15,500 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulango-Bouna iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikulango-Bouna kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikulango-Bouna Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikulango-Bouna katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nku
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikulango-Bouna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |