Nenda kwa yaliyomo

Kikulango-Bondoukou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikulango-Bondoukou ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Ghana inayozungumzwa na Wakulango. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikulango-Bondoukou nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 77,000. Pia kuna wasemaji 27,000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulango-Bondoukou iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikulango-Bondoukou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.