Kikuku-Yalanji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuku-Yalanji ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikuku-Yalanji 360, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Yalanji kiko katika kundi la Kiyalandyiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuku-Yalanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.