Kikuku-Mangk
Mandhari
Kikuku-Mangk kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuku-Mangk, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Mangk kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikuku-Mangk kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuku-Mangk Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikuku-Mangk katika Glottolog
- lugha ya Kikuku-Mangk katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuku-Mangk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |