Kikuke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuke (pia Kighale ya Kutang) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakuke. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikuke imehesabiwa kuwa watu 29 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikuke iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.