Kikudmali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikudmali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakudmali. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kikudmali imehesabiwa kuwa watu 37,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikudmali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikudmali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.