Kikubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikubu (pia Kianak-Dalam) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakubu kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikubu imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikubu iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikubu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.