Kikubi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikubi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakubi. Idadi ya Wakubi ni takriban 1500 lakini wote huongea Kihausa na hakuna awezaye kuongea Kikubi. Maana yake, lugha ya Kikubi imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikubi iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikubi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.