Kikrobu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikrobu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakrobu. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikrobu imehesabiwa kuwa watu 9920. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrobu iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrobu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.