Kikoroni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikoroni (pia Kioengsongi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakoroni kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikoroni imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Wakoroni wameanza kuacha lugha yao, Kikoroni iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoroni iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoroni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.