Kikorana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikorana ni lugha ya Khoisan nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wakorana. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kikorana tena ingawa idadi ya Wakorana imehesiabiwa mwaka wa 1972 kuwa watu 10,000 lakini wote wameacha lugha yao na kutumia lugha nyingine badala ya Kikorana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikorana kiko katika kundi la Kinama.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.