Kikomodo
Mandhari
Kikomodo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakomodo kwenye visiwa vya Komodo na Flores. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikomodo imehesabiwa kuwa watu 700 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikomodo iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikomodo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikomodo Ilihifadhiwa 25 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikomodo katika Glottolog
- lugha ya Kikomodo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikomodo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |